Fresa Gold ni program ya wavuti kwa ajili kusimamia shughuli za usambazaji na usafirishaji wa mizigo, iliyotengenezwa maalum kwa ajili ya wasambazaji wa mizigo, NVCOCC, Mawakala wa IATA na Wasafirishaji wa mizigo kwa ajili ya kusimamia shughuli zao zote katika mfumo mmoja.

Moduli zinaweza kuwasiliana zinachukua taarifa kuanzia hatua za mwanzo za mauzo, kutengeneza nukuu ya gharama, taarifa za usafirishaji (utaweza kutuma hali ya usafirishaji kwa watu wote wanaopaswa kupata taarifa hizo). Inasaidia pia kutengeneza hati za usafirishaji na fedha, Ankara & risiti. Ina uwezo pia kusaidia Utawala kuweza kuona operesheni na fedha zote kwa uwazi na wakati ndani ya shirika na kwa wateja.

Fresa Gold ina uwezo kuboreshwa zaidi ili kuweza kukidhi mahitaji na itasaidia kupunguza matumizi ya rasili mali, gharama za uendeshaji na kukuza ubora wa huduma na faida.