Ifuatayo ni namna ya kutengeneza ankara ya mauzo kutoka katika shipment au job na baada ya ankara kuwa imetengenezwa utajifunza namna ya kutengeneza risiti kwa ajili ya kiasi kamili kilichotajwa.

Step 1: Fungua job/shipment husika ambayo unataka kutengenezea ankara ya mauzo, kisha ingia makato kutumia screen ya gharama (Fig-1)

fresa gold

Fig.1

Step 2: Kisha chagua mteja kutoka katika organization master (jinsi ya kusajiri mteja kutoka katika organization master), ingiza kiasi cha mauzo, kama kodi inatakiwa kwa code hii ya makato, unaweza chagua aina ya kodi (Fig-2) na kisha hifadhi.

fresa gold

Fig.2

Step 3: Sasa, bonyeza generate sale invoice button toka katika job/shipment (Fig-3)

fresa gold

Fig.3

Step 4: Sasa utapata screen mpya kwa ajiri ya kuingiza taarifa zinazotakiwa, chagua bill to party name na kisha utapata orodha ya makato yaliyorekodiwa katika screen, andika aina ya sarafu, kama inatakiwa katika sarafu nyingine, andika sarafu na chagua makato yanayotakiwa, kisha hifadhi kwa ajiri ya kutengenza nukuu. (Fig-4), mfumo utatengeneza ankara kwa makato yalichaguliwa.

fresa gold

Fig.4

Kuona ama kuhariri ankara, bonyeza Voucher list button katika job/shipment na kisha post ankara ya mauzo. Kuchapisha ankara bonyeza Voucher list toka katika job/shipment na ufungue voucher husika, kwa kutumia report button kwenye ankara unaweza chapisha au kutuma ankara kwa mteja kwa njia ya barua pepe.

Baada ya ankara kuwa imekubaliwa na kupostiwa unaweza kutengeneza receipt voucher toka katika ankara (Fig-5), bonyeza generate receipt voucher,

fresa gold

Fig.5

Sasa, unatakiwa kuingiza taarifa zinazotakiwa kwa ajiri ya kutengeneza receipt voucher mpya kwa ajiri ya kiasi cha ankara (Fig-6)

fresa gold

Fig.6

Jinsi ya kutengeneza direct/open receipt voucher for a party