Step 1: Fungua job/shipment husika ambayo unahitaji kutengeneza ankara ya manunuzi, kisha ingiza makato kutumia screen ya gharama (Fig-1)

Fresa Gold

Fig.1

Step 2: kisha chagua muuzaji toka katika organization master, ingiza kiasi cha gharama, kama kodi inatakiwa kwa code ya makato hayo. unaweza chagua aina ya kodi (Fig-2) kisha hifadhi.

Fresa Gold

Fig.2

Step 3: Hatua inayofata, bonyeza generate purchase invoice button toka katika ship/shipment (Fig-3), chagua jina la muuzaji na unaweza pata orodha ya makato yaliyorekodiwa katika screen hii, andika Ref No, Ref Date, Bill amount na chagua makato yanayotakiwa, mwisho bonyeza Save ili kutengeneza Ankara ya Manunuzi (Fig-4), mfumo utatengeneza ankara ya manunuzi kulingana na taarifa ulizoingiza.

Fresa Gold

Fig.3

Fresa Gold

Fig.4

Step 4: Kuona/kuhariri ankara ya manunuzi, bonyeza Voucher list button toka katika job/shipment kisha post ankara ya manunuzi/muuzaji.