Mpedwa mtumiaji, tafadhali angalia hatua zifuatazo ili kusajiri mtu wa mauzo katika Fresa Gold,
Step 1: Nenda HR –> Employee Master –> hapo utaona orodha ya waajiriwa waliokwisha sajiriwa
Fig.1
Step 2: Kama unataka kusajiri mtu wa mauzo mpa bonyeza kwenye create button iliyopo juu ya window kulia (Fig-2)
Fig.2
Step 3: Hapa, utatakiwa kuandika code ya muajiriwa, jina la muajiriwa, jina la muajiriwa la kuonekana, aina ya muajiriwa , cheo chake na mwisho cha muhimu zaidi ni idara yake, kama unasajiri muajiriwa kama mtu wa mauzo katika Fresa Gold utapaswa kuchagua idara ‘SALES’, andika taarifa za ziada na kisha bonyeza Save button.
Fig.3
Sasa, mtu wa mauzo tajwa amekwisha sajiriwa, wakati unasajiri Organization au Shipment, mfumo utakuoneysha jina la mtu wa mauzo.